Wednesday, 14 July 2010

Penzi asili yake wapi?

Tuwe wa wazi jamani inapo fikia kwenye kutoa majibu.. mfano mwanao akikuuliza hivi penzi asili yake wapi, utamjibu nini, au akuulize hivi baba kwa nini unampenda sana mama kuliko mtu yeyote duniani, kwa sababu uana lala nae , una kula nae unaoga nae una jifungia nae chumbani, mnajifunika shuka moja, mnashea kanga taulo na oia hata mua unampa mama tu, tena mkiwa mmeloki mlango mi nasikia mama akisema shhhh- taaam, tam tam.. .. utamjibu nini mtoto, kwamba mapenzi yanasababishwa na nini, unacho mpendea mama, au mkeo au mmeo haswa nini nini, kwamaana kama ni uzuri, mi nadhani mzuri kuliko wote ni miss world tu na kwa mwaka huwaga ni mmoja tu. ila kila mtu anampenda mpenziwe nakumsifia mzuri.. cha kushangaza ni kwamba hata kama hana mvuto kwako kwa wenzako ni gold..

hivi mapenzi ni asili au, we unafikiria mapenzi ni urithi, sasa mbona kwenye urithi hayatangazwagi,.

mi nakosa jibu.. mapenzi mpenzi wapendanao wpendea, nampenda anipenda ananipenda twapendana, mwa pendana  ooooh mpaka naishiwa na pumzi kuchambua tu neno mapenzi..

haya nisichonge sana nisaidie na wewe basi kwa kujaza kwa hapa chini,


unajisikiaje ukisikia mtu anakwambia nakupenda?

Si hayo tu kwa mengi mengineyo enjoy kuingia kwenye mtandao wa KingBida, kwa maana hapa ni fuul stori ile laana..kichina wana sema non stop... bofya hapa kwa new topics
http://bida-africanahiphop.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment